ARTHROPODA NDIO KUNDI KUBWA KTK HIMAYA YA ANIMALIA (WANYAMA)


Arnthropoda: Kutana na kundi kubwa kabisa la wanyama lenye aina zaidi ya milioni na laki mbili 1,200000 na asilimia 90% ya viumbe hao wakiwa ni wadudu!
Arnthropoda uunda asilimia 80% ya kundi la wanyama.
Kundi hili la arnthropod
a wao huwa na mifupa au magamba magumu kwa nje ya miili yao na sio ndani ambayo huwasaidia kuepukana na hatari nyingi ktk maisha yao yote pindi wanapokutana na maadui.
Vifo vingi kwa asilimia 90% vya kundi hili la arnthropoda hutokana na kujivua,kujibua au kuondoa sehemu ya ngozi,magamba ya nje ya miili yao (Moulting).
Sehemu kubwa ya viumbe wa kundi hili wana sumu Kali sana kiasi cha kuweza kuleta madhara kadhaa ikiwemo hata kuondoa uhai wa viumbe vingine hata binadamu licha udogo wa maumbile waliyokuwa nayo,hivyo ni muhimu sana kuwa makini nao kwani wanaweza kuleta madhara makubwa kwa wanadamu.
Viumbe hawa uishi angani,ktk maji,msituni,jangwani na huwa wanayofautiana kwa tabia zao kutoka na na mazingira wanayoishi.
Baadhi ya viumbe hawa ni kaa,buibui,ng'e,tandu,panzi,jongoo na mende.
Asilimia kubwa ya viumbe hawa wanapatikana misitu ya amerika ya kusini,kaskazini,afrika,Asia ya mashariki,India,Sri Lanka.



















Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "ARTHROPODA NDIO KUNDI KUBWA KTK HIMAYA YA ANIMALIA (WANYAMA)"

Back To Top