Jeshi la iran limevurumisha miznga kadhaa kuingia ndani ya mashariki ya syria ili kuwalenga na kuwa rudisha wanamgambo wa IS ambao wanasumbua sehemu za mipakani mwake na hata ndani ya syria kwa kushikilia maeneo mengi ndani syria hiyo iliyogwanyika.
Iran pia imeitahadharisha syria kuwa ndege yake ilidunguliwa na marekani jana kinaweza kujirudia tena kitendo kwa marekani kutekeleza tena mashambulizi hayo,hivyo imeitaka syria kuwa macho zaidi na mashambulizi hayo.
Syria imeingia ktk machafuko toka 2011 na haijatulia hadi sasa na kuifanya kugawanyika ktk makundi ya waasi,vikundi,vya wanamgambo.
Marekani,urusi,uturuki uingiza vikosi vyao vya kijeshi kwa kusema kuwa wao wako humo kwa ajili ya kuvisaka na kuviangamiza vikundi nhivyo vya kigaidi.

0 Comments "IRAN YAPOROMOSHA MABOMU NDANI YA SYRIA KUPIGA IS"