URUSI YAIONYA MAREKANI BAADA YA KUITUNGUA NDEGE YA KIVITA YA SYRIA

Urusi imeonya marekani baada ya ndege ya jeshi la syria aina ya SU-22 fighter jet kutungliwa jana na ndege ya marekani aina ya F/A-18 Hornet na kisha kumkamata askari wake.

Marekani imejitetea kuwa alichukua maamuzi hayo ya kudungua ndege hiyo nbaada ya kuionya mara kadhaa juu ya kutupa mabomu maeneo ya waasi wa kikurd waliokuwa wakielekea mji wa Raqqa.

Urusi imesema marekani sio mara ya kwanza kwa kufanya uharifu huo wa kutungua ndege zake za kivita ila kwasasa imefika mwisho na endapo itarudia tena mchezo huo basi watachukua hatua madhubuti kwa jeshi la waasi likipewa nguvu na majeshi ya marekani.







F/A-18 us fighter jet

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "URUSI YAIONYA MAREKANI BAADA YA KUITUNGUA NDEGE YA KIVITA YA SYRIA"

Back To Top