GAIDI AVAMIA MSIKITINI NA GARI NA KUUA WAUMINI LONDON

Kijana Neil Basu mwenye umri wa miaka 48 amevamia msikitini akiwa na gari na kuusomba watu waliokuwa wakiswali nje na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuumiza 11.

Gari hiyo ndogo ya mizigo(van) iliingia kwa kasi eneola msikiti na kuvamia msululu wa waumini walikuwa wakiswali nje ya msikiti wa Finsbury park mosque kutokana na kujaa kwa waumini hasa ktk kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa  ramadhan ambapo idadi ya wanaabudu misikitini huongezeka maradufu na kufanya misikiti kujaa zaidi na wengine kuswali nje.

Waziri mkuu amekema tukio hilo na kusema huu wote ni aina ya ugaidi hivyo hawatoufumbia macho kamwe na kuuacha ushinde,wiki hii wamefariki watu wapatao 79 kutokana na ajali ya moto uliozuka ghafla ktk ghorofa ya fleti 120 ndani ya jiji hilo.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "GAIDI AVAMIA MSIKITINI NA GARI NA KUUA WAUMINI LONDON"

Back To Top