KIGOGO WA IPTL,RUGEMALIRA WATIWA MKONONI NA TAKUKURU

James Rugemalira jina maarufu ktk kashfa za wizi wa pesa za escrow ya upotevu wa shilingi bilioni 320 na ile ya IPTL na bosi kigogo Harbinder Sethi wamefikishwa kituo kikuu cha polisi kwa kwa shtuma za utakatishaji wa fedha za umma na kula rushwa.
Askari polisi waliwakamata watuhumiwa hao wawili kwa pamoja na kuwafikisha polisi ambapo kwa leo wamekosa kuwekewa dhamana kwakuwa makosa yao yanatakiwa kushuhulikiwa na mahakama za juu,hivuyo wamepelekwa rumande hadi kesho watakapofikishwa mahakamani rasmi.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "KIGOGO WA IPTL,RUGEMALIRA WATIWA MKONONI NA TAKUKURU"

Back To Top