MJUE MICHAEL SYLVESTER STALLONE A.K.A JOHN RAMBO

Kwa wale wapenzi wa mambo ya kutazama filamu kuanzia miaka ya 1970 watakuwa si wageni na jina (rambo),huyu ni mcheza sinema maarufu sana nchini marekani na hata dunia nzima kwa kazi zake nzuri alizozifanya.
Jina kamili ni michael sylvester stallone alizaliwa mwezi july/6/1946 huko marekani mji wa new york(hells kitchen),ana urefu wa futi 5.10,kwa sasa ana umri wa miaka (71),mke wa sasa anaitwa jennifer flavin alioa mwaka 1997,kabla ya hapo rambo alishakuwa na briggite 1983-1987 pia akawa na sasha czack 1974-1985,rambo amefanikiwa kupta mtoto moja anaitwa stage stallone,.
Wazazi wa rambo baba ni frank stallone,mama ni jackies stallone,rambo ana utajiri unakadiliwa kufikia dola milioni mia nne(400,000,000),rambo kazi zake ni kuigiza na kuandika mtiririko wa matukio,kuogoza filamu.
Kwasasa rambo bado anaigiza filamu mbalimbali ikiwemo rambo namba 5 escape plan ambayo zinakuja karibuni,kabla ya hapo rambo alijulikana kwa filamu maarufu kama rambo namba 1 1982 hadi namba nne aliofanya mwaka 2008,first blood namba 1 hadi 3 1984,rocky 1985,cobra 1986,tango and cash 1989 lakini pia rambo alishakuwepo ktk filamu ya expendables akiwa na arnold,doff,jason stathan n.k.
Rambo jina la utani anafahamika kama john rambo ktk filamu nyingi,kwa sasa ni mtu mzima sana lakini bado anafanya kazi hizo na ameshapoka tuzo nyingi sana kwa kufanya vizuri ktk filamu zake.



Share :

Facebook Twitter Google+
1 Comment "MJUE MICHAEL SYLVESTER STALLONE A.K.A JOHN RAMBO"

Back To Top