MVUA KUBWA ZA ELI NINO ZASABABISHA MAFURIKO PERU NA BOLIVIA

Mvua zilizoambatana na upepo na radi kali inaenea kunyesha ktk nchi ya peru na bolivia na kusababisha mafuriko ktk miji mbalimbali ya nchi hizo,mvua hizo ambazo zimeanza hivi karibuni karibu nchi zote za marekani ya kusini ambazo ndipo msitu mnene wa amazon wenye mito mikubwa na aina mbalimbali za mimea na wanyama wanaoishi humo.
Kumeshuhudiwa kuanguka kwa miti,kuzolewa kwa magari,nyumba na mali nyingi kunakotokana na maji mengi ya mvua kuzingira makazi ya watu,kuporomoka kwa ardhi,kukatika kwa umeme.
Watu zaidi ya elfu kumi(10000) wanahofiwa kutokuwa na makazi wala chakula,miundombinu ya barabara,shule imeharibiwa vibaya na mingine kuzama ktk maji.raisi wa nchi ya peru amatangaza hali ya hatari ktk nchi.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MVUA KUBWA ZA ELI NINO ZASABABISHA MAFURIKO PERU NA BOLIVIA"

Back To Top