
Nchi ya ghana,Cameroon,nigeria, na Togo kwa pamoja uzalisha tani milioni moja laki tano na hamsini na tano(1,550000).
Kakao (cocoa) utumika kama chakula kwa binadamu pia kama malighafi kwa kutengenezea vipozi vya baina nyingi ambavyo utumika na watu.
Kakao inapotumika kama chakula kinywaji ina faida zifuatazo kwa mwili,kukupa mwili nguvu ya haraka,kuzuia kisukari,kusafisha mkojo,kulinda figo,ini kushambiliwa na magonjwa.

Kakao ina faida zaidi ikiwa itatumika mbichi ktk hali ya unga unga ktk maji moto kama kinywaji.
Kakao ni maarufu zaidi kwa ajili ya kutengeneza chokoleti (chocolate) ambayo ni maarufu sana na upendwa saa na watoto.
Zao hili ni miongoni mwa zao linaloipa mapato mkubwa ya pesa za kigeni nchi ya ivory coast.
Zingatia: Licha ya zao hili kuzalishwa zaidi nchi za kiafrika,kakao utumika zaidi na watu wa nchi za mabara ya ulaya,Asia na marekani kuliko afrika kama ilivyo kwa kahawa na chai.
Baadhi ya vyakula na vipodozi vinavyotokana na malighafi ya zao hili la kakao (COCOA)
2 Comments "SIRI NA FAIDA YA TUNDA LA KAKAO (COCOA)!"
Nimeelewa Sana, 🙏
Nashkuru nmeelewa✍✍