DOGO MFAUME WA "KAZI YANGU YA DUKANI" AFARIKI

Msanii wa muziki wa kizazi kpya wenye mahazi ya mnanda au mchiriku Mfaume Selemani Maarufu Kama Dogo Mfaume aliyejulikana kwa Nyimbo yake maarufu ya "Kazi yangu Ya Dukani" Amefariki dunia ghafla ktk hospitali ya taifa ya Muhimbili MHC jana mchana.

Taarifa zilitofikia chanzo cha habari j ya sabau za kifo chake ni uvimbe liokwa ndani ya kichwa chake sehem za ubongo ambapo tayari alishakuwa ktk ratiba ya kufanyiwa upasuaji mkubwa ijumaa ya wiki hii ya tarehe 19/5/2017.

Dogo mfaume aliishi ktk nymba za wat walioathirika na utumiaji wa madawa ya kulevya kwa kipindi kirefu sana na kufanikiwa kuachana kabisa na utumiaji wa madawa hayo hatari,lakini sik za mbele hali haikwa nzuri ndipo alipopimwa na kktwa na vimbe huo ktk bongo wake na kupangiwa ratiba ya upasuaji lakini jitahada hizo hazikgonga mwamba ktokana na kifo chake hicho cha ghafla kilichohusishwa na matumizi ya madawa hayo.

Matumizi ya madawa ya klevya yamekuwa yakiharibu na kondoa uhai wa wasanii na vijana wengi nchini na dniani kwa ujumla,hali hii ndio iliyopelekea serikali kupambana kwa hali na mali ili kuweza kuthibiti a kuondoa tatizo hili kbwa linalowatafuna hasa vijana baina ya umri wa miaka 15-50 hivyo kuondoa na kuzima ndoto na nguvu kazi kwa familia na taifa kwa jumla.









Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "DOGO MFAUME WA "KAZI YANGU YA DUKANI" AFARIKI"

Back To Top