
Victoria kimani alzaliwa los angels jimbo la calfornia nchini marekani mnamo (july 28/1985),kwasasa ana umri wa miaka (31),pia aliishi na kukulia jimbo benin nchini nigeria.
Maisha yake ya utoto alianza kusoma akiwa na umri wa miaka 7 huko nigeria,victoria kimani ni raia wa kuzaliwa wa nchin ya marekani lakini makazi yake na shughuli zake za maisha yake yako nchini kenya.
victoria kimani alianza kuvuma na kusikika rasmi mwaka 2009 na kazi zake kubwa ni mwimbaji,mwandishi w a mziki,muigizaji,mwanamitindo wa mavazi.anafanya kazi zake ktk label ya chacolate city,ameshafanya filamu ijulikanyo kama 7 inch curve.
Victoria kimani ndugu na kaka yake anafahamika kama bamboo ambae nae ni mwanamuziki wa kenya,victoria kimani hajaolewa na wala hana watoto licha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na victor wanyama na mtaarishaji wa muziki wa nchini afrika kusini walikuwa wakionekana mara kwa mara pamoja.
Baadhi ya kazi zake za nyimbo alizofanya victoria kimani ni kama (mtoto,prokoto,whoa,booty bounce,all the way. kabla ya kujiingiza ktk mziki victoria alikuwa ni mwimbaji wa kaya za kanisani toka na umri wa miaka 7. wakati mwingine alionekan akivaa hijjabu na alipoulizwa alijibu kuwa yeye anapenda tu kuvaa aina ile ya vazi na si vyenginevyo. maisha ya dada huyu hasa ya kimahusiano yamekuwa ya kificho sana.
Ameshafanya kazi kwa kushirikiana na wanamuziki wengi afriaka ya mashariki magharibi.ameshapokea tuzo nyingi ndani na nje ya kenya na kufanya matamasha mengi makubwa kama ya fiesta tanzania n.k aina ya mziki aimbao victoria ni rnb.

0 Comments "MFAHAMU VICTORIA KIMANI MWANAMZIKI ANAEKIMBIZA KENYA"