BETSY DEVOS ATEULIWA KUWA WAZIRI WA ELIMU MAREKANI

Rais wa marekani bwana donald trump amemteua bibi Betsy devos kutoka jimbo la michigan kuwa waziri wa elimu wa taifa la marekani,hatab hivyo uteuzi huo utahakikiwa na baraza la seneti ili kuwa waziri kamili kitu ambacho upande wa upinzani wamepigia kelele kuwa trump anaendelea kuchagua matajiri wenzie na kuwajaza ktk serikali hiyo,hata hivyo trump amewakemea vongozi hao wa cha cha democratic kuwa bado wanaendelea kuwa na mawazo mgando juu ya kupendekeza kuwepo kwa mfumo ulioshindwa wa utawala uliopita wa barack obama.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "BETSY DEVOS ATEULIWA KUWA WAZIRI WA ELIMU MAREKANI"

Back To Top