SOMALIA YAJITAARISHA KUCHAGUA RAIS MPYA

Mbio za uchaguzi zinaendelea huko somalia taifa la pembe ya afrika ambalo limekubwa na machafuko ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa mgawanyiko wa koo na vikundi vya kijeshi toka kuangushwa kwa utawala wa kidikteta wa siad barre uliotolewa madarakani ambae aliitawala somalia toka  mwaka 1969 hadi 1991 alipopinduliwa.

Baadae somalia ilitawaliwa na ali mahdi mohamed 1991-1997,abqasim salad hassan 2000-2004,abdullah yusuph ahmed 2004-2008,sharif sheik ahmed 2009-2012 na kwasasa yuko hassan sheikh muhamed ambae yuko toka mwaka 2012...

Somalia imekuwa inchi ya mapigano baina ya koo na vikundi kama mahakama za kiislamu,al-shabab ambavyo vianaonekana kuwa ni vikundi vya kigaidi ndani ya afrika na ulaya. watu wake wanaishi ktk umaikini,ukosefu wa vyakula,huduma mbaya za afya,mauaji ya kujitoa muhanga,ubaguzi wa kikoo na kufanya somalia kuwa miongoni mwa sehemu hatari duniani.


vikundi hivi vimekuwa vikifanya mashambulizi ya kigaidi ndani ya mji mkuu mogadishu na viunga  vyake hasa ktk soko kuuu na nchi za kenya nairobi west gate mall,chuo cha garissa,uganda na hata kushambulia majeshi ya kulinda amani vya AMISON.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SOMALIA YAJITAARISHA KUCHAGUA RAIS MPYA"

Back To Top