MJUE VAN DAMME ( JEAN CLAUDE CAMILLE)

Jina halisi ni (jean claude camille francois van varenberg) alizaliwa tarehe 18/10/1960 mji wa brasells nchini ubeligiji,sasa ana umri wa miaka (56),majina ya utani anafahamika kama jvcd,van damme,the musles from brassells.

Van damme ni mwigizaji,muongozaji,mtenengezaji,mwandishi wa filamu,mpiganaji wa kickbox,taekwondo,karate,alishapigana mapambano kadhaa ya kweli na kushinda mengi yake. van damme alianza kufahamika rasmi mwaka 1976.
 Wazazi wa van damme baba ni waloon anazungumza kifaransa,mama flemish anazungumza kiholanzi.
ameshaoa wanawake wanne ktk maisha yake ambao ni maria rodriguez 1980-84,cyncthia derderian 1985-86,gladdys portuguse 1987 na kumuoa rasmi 1999.

Amefanikiwa kupata watoto watatu 3 ambao ni biancabree,kristopher, na nicholas,baadhi ya filamu alizofanya na kumfanya kujulikana ni bloodsport 1988,lionheart,1990,double impact 1991,universal soldier 1992,hard target 1993,street fighter na time cop 1994,sudden death 1995,jvcd 2008,expandable 2 2012.

Van damme ameshinda tuzo kadhaa za ubora wa filamu zake na kumpatia utajiri wa dola milion 30 taslim.kwasasa anajishughulisha na kuigiza filamu na anamiliki chuo cha kufundisha kickboxer nchini marekani.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MJUE VAN DAMME ( JEAN CLAUDE CAMILLE)"

Back To Top