KENYA YAJENGA KINU CHA NYUKLIA

Kenya imeingeia mkataba mpya na nchi za korea kusini,urusi kwa kuanza kujenga kinu cha kwanza cha nyuklia kitakachozalisha umeme utakao tumik ktk nchi hiyo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na maofisni na hata viwandani,kenya ni miongoni mwa taifa la afrika mashariki lenye viwanda vingi ambavyo vinahitaji kiasi kikubwa cha nishati kuendesha  viwanda hivyo,mradi huu utatumia zaidi ya billioni mia tano 500 za kenya .
Mataifa yalioendelea ulimwenguni yanatumia aina hii ya nguvu za kinyuklia kuzalisha nishati kwani inatumia malighafi chache kuzalisha nishati kwa mda mrefu.ujenzi wa kinu hiki utaanza rasmi mwaka 2022.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "KENYA YAJENGA KINU CHA NYUKLIA"

Back To Top