
Kutokana na kufunguka kwa kiuchumi na kuibuka kwa wimbi la watu wanakwenda mikoa hiyo ya kusini kutkana na kupatikana kwa barabara nzuri na fursa ya ugunduzi wa gesi asilia ikiwemo na kuwep kwa kiwanda cha simenti cha dongote kilichopo mkoani mtwara kumekuwa na ongezeko la watu na vyombo vya moto viavyokwenda na kurudi toka ktk mikoa hii.
Waziri mkuu ameshauri kituo cha temeke kihamishiwe wilayan ya mkuranga mkoa wa pwani na kito cha temeke na mbagala vibaki kwa ajili ya daladala ili kuepusha usumbufu na msongamano usio wa lazima.
0 Comments "WAZIRI MKUU ASHAURI STENDI YA MABASI YA MIKOA YA KUSINI KUHAMISHIWA MKURANGA"