MSUKUMA ATAKA KUAHALALISHWA KWA MATUMIZI YA MILUNGI NA BANGE

Mbunge wa geita vijijini kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi mh.joseph kashekun maarufu kma msukuma leo amesimama bungeni na kutetea matumizi ya bange na milungi kuhalalishwa rasmi na serikali kuzwa kwa uhuru na kuifanya serikali kupata pato la kodi kutokana na biashara hiyo kubwa nchini,akatoa mfano kuwa taifa la kenya linauza tani nyingi kila siku kupeleka ulaya na marekani kwa matumizi.
Pia akaongeza kuwa kuana utafiti gani liofanyika duniani na ukaonyesha kuwa milungi na bange kuwa vina madhara kwa watumiaji,na kama haijafinyika basi kwanini usifanyike na kuaruhusu biashara na matumizi ya mimea hiyo ili kuleta faida kwa taifa,hata hivyo ombi hilo lilipingwa vikali.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MSUKUMA ATAKA KUAHALALISHWA KWA MATUMIZI YA MILUNGI NA BANGE"

Back To Top