WANAWAKE SASA KUPUMZIKA KUTUMIA NJIA ZA KUZUIA MIMBA BAADA YA KUPATIKANA KWA WANAUME

Wataalam wa maswala ya afya duniani hivi karibuni  wamefanikiwa kugundua mafuta mazito yatkaoyweza kutumiwa na wanaume wakati wa tendo ili kuzuia uingiaji wa mimba kwa wanawake,mafuta haya yatakuwa yanazuia ufanyi kazi wa mbegu za uzazi kuwa hai na kushindwa kazi ya kuweka mimba kwa mwanamke.
Hali imeleta ahuni kwa wanawake ambao kwa miaka mimngiwao ndio wamekuwa wahanga wa kutumia aina mbalimbali za njia za kuzuia mimba au kupanga uzazi,aina hii ni kama vidonge,vijiti,sindano na  hata mipira ya kike,njia hizi zote huathiri baadhi ya wanawake kimifmo na kiafya wakati wanaume wakiwa wanatumia mipira ya kiume na vijiti pekee sasa njia ya tatu hii yaongezwa kwa wanaume ili kurahisha uzazi wa mpango kwa familia.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WANAWAKE SASA KUPUMZIKA KUTUMIA NJIA ZA KUZUIA MIMBA BAADA YA KUPATIKANA KWA WANAUME"

Back To Top