SERIKALI YASHAURIWA KUFUNGA VIWANDA VYA POMBE NCHINI

Kutokana na sakata la kukamatwa zaidi ya watu 112 na zaidi ya 2000 wakituhumiwa kuuza,kusambaza na kutumia madawa ya kulevya wakiwemo wasanii maarufu na maafisa wa polisi na kuwekwa ndani,leo wamefikishwa mahakamani na wengine kukutwa hawana hatia na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na uangalizi maalum kutokana na kuathirika na matumizi ya madawa hayo kwa mda wa mwaka mmoja. baadhi ya wadau wameishauri serikali kufunga viwanda vya pombe kali kama maarufu kama VIROBA kwa kuonekana kuwa nazo zinachgangia kwa kiasi kikubwa ktk kuweka vijana na jamii ktk matatizo yanayofanana na matumizi ya madawa ya kulevya,kwani vijana wengi wanatumia viroba kuanzia asubuhi hadi jioni,lakin pia matumizi  ya bangi,mirungi,shisha pia zimekuwa zikiathiri rika la vijana.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SERIKALI YASHAURIWA KUFUNGA VIWANDA VYA POMBE NCHINI"

Back To Top