DONALD TRUMP ATETEA SHERIA YA UHAMIAJI KUPITISHWA

Baada ya mswada wa sheria ya donald kupelekwa ktk baraza la seneti na kugonga mwamba kwa mara kwanza,trump aamua kushinikiza kwa sheria hiyo kupitiwa upya na kupitisha sheria hiyo kwani ni muhimu sana kwa usalama wa taifa lao hasa kujikinga na vitendo vya ugaidi na mambo ya uuzaji wa madawa ya kulevya.
Katiba ya marekani  inamruhusu rais wa marekani kuweza kuzuia mtu au kikundi cha watu kuingia nchini ikiwa kutakuwa na shaka ya usalama wa taia hilo.
sheria hii ya uhamiaji imeleta maandamano ndani na nje ya marekani ktk kuipinga kuwepo kwake.mahakama ya marekani ndio itaamua juu ya sheria hiyo kupita au isipite.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "DONALD TRUMP ATETEA SHERIA YA UHAMIAJI KUPITISHWA"

Back To Top