WAFUNGWA 13000 WAHOFIWA KUNYONGWA NCHINI SYRIA

Zaidi ya wafungwa elfu kui na tatu(13000) wanahofiwa kuwawa kwa kunyongwa wakiwa gerezani ktk kipindi cha utawala wa bashar al asad,wafungwa hao wa kisiasa na wapinzani wa utawala wa al asad walionza kunyongwa toka kipindi cha mwaka 2011 yalipoanza machafuko ya kisiasa ktk kupinga utawala huo.
Wafungwa hao wengi walikuwa wakishikiliwa ktk gereza la (SAYDNAYA) nchini humo,taariffa hizi zimetolewa na shirika la kutetea haki za kibinadamu la AMNESTY INTERNATIONAL linalomilikiwa na umoja wa mataifa. kumekuwapo na ukiukwaji wa haki za kibinadamu nchini syria toka mwaka 2011.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WAFUNGWA 13000 WAHOFIWA KUNYONGWA NCHINI SYRIA"

Back To Top