WABUNGE WA UKAWA WATOKA NJE YA BUNGE

Wabune wa vyama vya upinzani maarufui kama UKAWA wameamua kutoka njje ya jengo la bunge ktk kikao cha jioni hii baada ya kuona wanazuiwa kuongea hoja zao na mara kwa mara na pia ktk kitedo cha kukamatwa viongozi wa vyama zao na kuzuia na polisi ktk vituo mbalimbali kama ilivyotokea kwa godbless lema mbunge wa arusha mjini na kunyima dhamana,kukamatwa kwa tundu lisu hivi karibuni huko dodoma na kusafirishwa hadi kituo kikuu jijini dar es salaam.

Hata hivyo wabunge hao wamelalamikia swala mh.edward lowassa mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha chadema kukamatwa huko geita ns kuhojiwa na polisi kwa kosa la kusimama njiani na kutaka kuhutubia wananchi bila kibali maalum.

Mambo haya yote ndani na nnje ya bunge yanaifanya kambi ya upinzani kuona kama ni kubanwa kwa uhuru wa kujieleza na demokrasia nchini,wabunge hao baadhi wakiotoka nje ya bunge ni ester bulaya,halima mdee mbunge wa kawe.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WABUNGE WA UKAWA WATOKA NJE YA BUNGE"

Back To Top