
Timu hizi zote ambazo zina wachezaji wazuri barani afrika hasa cameroon ambayo baadhi ya wachezaji wengi wa nci hiyo wanachezea klabu mbalimbali barani ulaya.
Mechi ya jana ndio iliyoamua machukuzi rasmi wa kombe hilo na hatimae kombe kuangukia mikononi mwa timu ya cameroon kwa kuifunga timu ya misri goli 2-1 na ushindi huo kuelekea wa mara ya tano sasa kwa taifa na timu ya watu wa cameroon.
Kushindwa kwa timu ya misri inawezekana imesababishwa na kukosa kujinoa vyema ndani ya nchi ya kutokana na machafuko ya kisiasa yalioikumba nchi ya toka mwaka 2011 ya kuuondoa utawala hussein mubaraka,kisha kuwekwa kwa mohamed musri na kupinduliwa na mkuu wa jeshi bwana Al sis ambae ndio raisi a sasa wa taifa hilo la misri.
0 Comments "CAMEROON YABEBA KOMBE AFCON"