Ziko meli kubwa zaidi na zenye uwezo mkubwa kulingana na aina na wingi au kiasi cha mzigo unaokusudiwa kubebwa. Meli hizi kubwa uzingatia uzito,kiasi na umbali ambapo mizigo hiyo inatakiwa kufikshwa.
Meli hizi kubwa zimetengenezwa kasasa zaidi na na zimegharimu kiasi kikubwa cha pesa,mda,malighafi na idadi kubwa ya watu kama mafundi ili kutengezwa kwake.
Meli hizi uwa na nguvu zaidi za injini zake na utumia kiasi kikubwa cha nishati ili kuwezesha meli hiyo kuweza kufanya kazi vizuri.
Baadhin ya meli kubwa zaidi duniani kwasasa ni kama:-
1.CSCL GLOBE (CHINA SHIPPING CONTAINER LINES) HONG KONG
Meli hii iliyoanza kazi mara ya kwanza mwaka 2014 ikiwa inamilikiwa na kampuni ya china ina ukubwa wa mita 400AU futi 1,312 sawa na viwanja vinne vya mpira wa miguu,ikiwa na uwezo wa kubeba kontena elfu 19,100 za futi 20ft.
Meli hii imegharimu zaidi ya dola za kimarekani milioni 700.
Ina uwezo wa kubeba taniu zipatazo laki 187,541 ikiwa ni uwezo wa juu kabisa kwa meli hii kubebwa.
Injini ya meli hii ina nguvu ya umeme wa msukumo ya 69,720 na 84,rpm ikiwa inatembea kwa spidi ya knoti 22.5 sawa na kilomita 41 kwa saa moja.
2.ELLY MAERSK
Meli hii ina ukubwa wa mit 397 sawa na viwanja vya mpira vitatu na kidogo,au futi 1302,ina spidi ya knoti 26 na kutembea kilomita 48 kwa saa moja,ina uwezo wa kubeba tani 15,500.
Injini yake ina nguvu ya kuzalisha nguvu ya 80,905 sawa na 109,998 HP na kubeba kontena zipatazo 18000 za futi 20ft ikiwa ni nyingi kwa kontena 2500 kuzidi ile ya meli ya Emma maersk.
Meli hii imeghariumu zaidi ya dola milioni 190 za kimarekani na imetengenezwa nchini Denmark.
3.EMMA MAERSK
Meli hii ina ukubwa wa futi 397 sawa na viwanja vitatu na kidogo vya mpira au futi 1,302,ubeba tani zipatazoi 17,0974 na makontena yapatayo 15,500 ya futi 20 na kutembea kwa spidi ya knoti 25.5 sawa na kilomita 47.2 kwa saa moja.
Meli hii iligharimu zaidi ya dola milioni 145 ktk matengenezo yake na injini yake ina uwezo wa 109,000 HP,meli hii imetengenezwa nchini Denmark na kumilikiwa na kampuni ya maersk.

0 Comments "ZITAMBUE MELI KUBWA ZA MIZIGO INAYOBEBWA KTK MAKONTENA DUNIANI"