MAMBO MACHACHE USIYO FAHAMU KUHUSU TAIFA LA INDIA

India ndio taifa la pili duniani kwa wingi wa idadi ya watu  ikiwa na watu bilioni moja nukta moja (1.1) wakati nafasi a kwanza ikishikiliwa na china kwa kuwa na watu wasiopungua bilioni mioja nukta mbili (1.2),india ndio taifa lenye makabila mengi karibu nusu ya makabila ya dunia kuliko taifa lolote duniani wakiwa na makabila zaidi ya mia tano (500).

India ndio taifa lenye idadi kubwa ya wafuasi na dini kuliko taifa lolote wakiwa na wafuasi ya milion mia moja na tatu (103,36,,42,651.31) wa dini ya kihindu sawa na asilimia 79.8 ya wananchi wote wa india.

India ndio taifa linalotumia dhahabu zaidi ktk mambo ya kidini,ndoa,zawadi na mapambo kwa wanawake kuliko taifa lolote duniani,wao kwa utumia tani mia tisa (900) za dhahabu,india wanayo akiba ya tani elfu ishirini na mbili(22000) kama akiba,na ununua nusu (50%) ya dhahabu yote inayopatikana duniani.

India ina wapiga kuwra zaidi ya miliomi mia nane na wakati wa uchaguzi utumia wiki nzima kufanya zoezi hilo(siku 7) na kumaliza tukio hilo.

Kabila kubwa duniani linafahamika kama (Gujjar) linapatikana nchi za afghanstan,india,nepal,bagladesh,georgia,china n.k. Huku afrika ikiwa na watu wanaozungumza lugha zaidi ya elfu mbili(2000),china ina makabila hamsini na tano pekee dini kubwa ni ya kibudha (budhism).
Duniani kuna dini zaidi ya elfu nne na mia mbili (4200),huku idadi ya watu wote duniani ikiwa inafikia bilioni sita nukta sita (6.9).

India ilipata uhuru wake kutoka kwa waingereza agasti 15/1947 ikiwa chini ya mahatman ghandi,kwa sasa india inaongozwa na waziri mkuu ujulikane kama Narenda modi toka 2014.





India ndio nchi inyoongoza kwa watu wake kutapakaa kila pembe ya dunia,wao wameendelea kiviwanda kulinganisha na sehemu nyingi za afrika wana kiwanda cha magari kijulikanacho kama TATA,kiwanda cha pikipiki za magurudumu ya matairi mawili na matatu cha Boxer,bajaj.wanatumia nguvu za kinyuklia ktk kuzalisha umeme.







Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MAMBO MACHACHE USIYO FAHAMU KUHUSU TAIFA LA INDIA"

Back To Top