
Korea kaskazini imejaribu bomu hilo la nyuklia (Nuclear ballistic missile) ambalo lina uwezo wa kusafiri kilometa zaidi ya mia tano na hamsini (550) sawa na maili (300) sawa na uwezo wa kufika nchi ya japan,bomu hilo limejaribiwa siku ya jumamosimmuda wa saa mbili asubuhi(8:00 a.m) saa za korea sawa na saa tano usiku(23:00) saa za GMT.
Mtawala wa taifa hilo kwa sasa Kim jong un alierithi kutoka kwa baba yake Kim jong il anajaribu kuwaonyesha washirika wa marekani kama japan na korea kusini na kumkaribisha rais mpya wa marekani Donald trump kuwa taifa lao lina nguvu za kijeshi na kitknologia hivyo sio wa kuchezea kabisa.
Taifa hili la korea kaskazini jana walikuwa ktk ksheherekea mwaka wa sabini na tano(75) wa uhuru wao,washajaribu mabomu mengi ambayo baadhi yao yalifeli kufika lengo,mpango wa wa taifa hilo ni kutengeneza bomu kubwa zaidi litakaloweza kusafiri zaidi ya kilometa elfu kumi(10000) sawa na maili (5500) ili kuwa na uwezo wa kufika na kupiga miji ya washington dc marekani,tokyo japan na seoul mji wa korea kaskazini,
Rais wa marekani amekemea na kulaumu san kitendo hiko cha korea kaskazini kujaribu bomu hilo na kusema hakikubaliki kabisa kwani dunia inakataa matumizi ya silaha hizo hatari kwa dunia,bomu hili lilijaribiwa wakati wakiwa mda wa chakula chan usiku na mshirika wake wa japan shinzo abe ambao ni washirka watatu wakubwa kibiashara na marekani.
0 Comments "KOREA KASKAZINI YAONYESHA JEURI DUNIA KWA KUJARIBU BOMU LA NYUKLIA"