
Abe amekutana na mwenyeji wake Trump na kuzungumzia maswala ya usalama wa nchi zao kutokana na vitisho vya korea kaskazini kumiliki silaha za masafa marefu za kinyuklia,marekani imeahidi kuendelea kuilinda japan kwa nguvu zake zote.
Ikumbukwe kuwa marekani ina vituo vya kijeshi vingi vyenye wanajeshi wengi huko japan toka vita kuu ya pili ya dunia,Abe amemwambia mwenyeji wake kuwa wajapan wataendelea kujiwekeza zaidi marekani ktk mambo ya kiuchumi na viwanda,japan ni miongoni mwa mataifa yalioendelea ktk viwanda duniani
0 Comments "SHINZO ABE AFANYA ZIARA MAREKANI"