WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAFUNGA VILAGO RASMI KUHAMIA DODOMA

Wizara ya nishati na madini Jana imeanza rasmi kuchukua kila kilicho chao ili kuhamia Dodoma makao mkuu ya nchi,hatua hii imekuja ili kutekeleza kauli na nia ya rais wa awamu ya tangu Mh John pombe Joseph magufuli.
Ikiwa ni  nia ya dhati kwa serikali yote kuhamia Dodoma na kufanya kazi zake huko na si jijini dar es salaam kama ilivyo kwa miaka yote.

Zoezi hili la  kuhamishia serikali Dodoma lilianza kutekelezwa na Waziri Mkuu Majaliwa kassim majaliwa kwa kuhamia huko toka mwishoni mwa 2016.

Wizara ya tishati na madini chini ya waziri Sospeter muhongo imeshahamisha wafanyakazi zaidinya 87  kwenda dodoma kati ya 140 ktk makao makuu ya wizara hiyo.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAFUNGA VILAGO RASMI KUHAMIA DODOMA"

Back To Top