Mpinzani na mwanaharakani pekee inchini urusi bwana Alexei navalny amekutwa na hatia kwa kuchochea machafuko kwa njia ya kudai demokrasia na kuhamasisha raia kupinga serikali ya rais Vladimir putin ambae yuko madarakani toka mwaka 1999.
Vladimir putin alikuwa Mkuu wa kikosi cha ujasusi cha urusi kijulikanacho kama (KGB) aliingia madarakani baada y kujiuzulu raisi na kushika nyadhifa hiyo kqa kipindi cha mpito kisha baadae kushika nyadhifa ya urais Mara mbili na uwaziri Mara mbili kitu ambacho Wengi wanaona ni sawa na serikali ya kifalme au kidikteta.
Kiongozi huyo upinzani amehukumiwa kifungo cha miaka gerezani.
Watu wengu wanaon hukumu ni kama mwendelezo kubana haki ya kidemokrasia na si ya haki.
Vladimir putin alikuwa Mkuu wa kikosi cha ujasusi cha urusi kijulikanacho kama (KGB) aliingia madarakani baada y kujiuzulu raisi na kushika nyadhifa hiyo kqa kipindi cha mpito kisha baadae kushika nyadhifa ya urais Mara mbili na uwaziri Mara mbili kitu ambacho Wengi wanaona ni sawa na serikali ya kifalme au kidikteta.
Kiongozi huyo upinzani amehukumiwa kifungo cha miaka gerezani.

0 Comments "MPINZANI MKUU WA UTAWALA WA VLADIMR PUTIN AKUTWA NA HATIA"