MARAIS WATANO WA MAREKANI WAHUDHURIA TAMASHA LA KUCHANGIA WAHANGA WA KIMBUNGA HARVEY TEXAS

Rais Jimmy Carter,George Bush,Bill Clinton,Goerge W Bush,Barack Obama walikuwa ni moja ya
viongozi wa ngazi za juu ktk serikali zilizopita marekani wameonekana kuhudhuria tamasha maalum lililo taarishwa mahsusi kwa kuwachangia waahanga wa kimbunga Harvey kilichosumbua zaidi ktk jimbo la  Texas hasa ktk jiji la nne kwa ukubwa marekani la Huston.

Marais hao waliokuja kwa sura za bashasha ktk tamasha hilo la Hurricane walisisitiza umoja na mshikamano kwa wamarekani hasa ktk kipindi hiki kigumu cha matatizo yaliokumbumba baadhi ya miji na kuiharibu vibaya ktk majengo,mali,miundombinu.

Kimbunga Harvey ni miongoni mwa vimbunga vikali vilivyoathiri zaidi ktk kipindi cha miaka 12 ukiacha kimbunga Wilma cha mwaka 2005,maeneo ya Texas,lusiana,Balize,Nicaragua na honduras na meneo ya pwani ya bahari ya antlantiki,kimbnga hiki kilikuwa kitembea mwendo wa maili 134 kwa saa.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MARAIS WATANO WA MAREKANI WAHUDHURIA TAMASHA LA KUCHANGIA WAHANGA WA KIMBUNGA HARVEY TEXAS"

Back To Top