Kwa ulimwengu mzima kuna maelfu ya kurekodi filamu lakini sio makampuni yote yako ktk ubora unaohitajika ktk kiwango cha kimataifa,ikumbukwe kuwa India,Nigeria na Marekani ndio nchi zinazoongoza kwa kuwa na waigizaji,makampuni na kutoa idadi kubwa za filamu duniani kote.
Tasinia hii ya uigizaji wa filamu imekuwa miongoni mwa vyanzo vikubwa vya mapata kwa waigizaji,wafanyabiashara,serikali na hata kwa makampuni,hali hii imefanya kuwa na ushindani mkubwa ktk soko la kibiashara kidunia kwa kuwa na idadi kubwa ya filamu zinazotolewa kila kukicha,Kama utadiliki kutoa filamu ambayo itakuwa haina viwango itakuwa sio rahisi kwa kupata mauzo na mafanikio makubwa ktk soko la dunia.
Moja ya vitu ambavyo vinaweza kumfanya mtu kufanikiwa ktk soko la uigizaji ni kuchagua aina gani ya kampuni anayotaka kuitumia ktk kuigiza filamu yake hiyo.
Kwa nchi zilizendelea kuigiza filau ni gharama kubwa na inahitaji mda mwingi ili kutaarisha japo kipande kifupi tu filamu au igizo husika,wakati mwingine inawalazimu waigizaji kutumia pesa nyingi kusafiri nchi hadi nchi au bara kwa bara ili kufuata kile wanacho kihitaji kitumike au kionekane ktk fiamu hiyo.
Miongoni mwa vigezo wanavyotumia ni kutumia wasomi waliokuwa na ujuzi na fani ya uigizaji,kurekodi filamu,matumizi ya sayansi na teknologia ya hali ya juu pia uhusika ktk utaarishaji wa filamu.
Haya ndio makampuni makubwa,makongwe,tajiri na bora zaidi ktk kurekodi filamu nyingi duniani:-
1.TIME WARNER BROS (Warner Bros)-ampuni hii ilianzishwa april 4 1923 ktk nchi ya marekani.
2.SONY PICTURES ENTERTAINMENT-kampuni hii ilianzishwa mwaka 1918.
3.WALT DISNEY STUDIOS-ilianzishwa mnamo oktoba 16 1923.
4.UNIVERSAL PICTURES-ilianzishwa mwaka 1915.
5.20TH (21TH) CENTURY FOX-ilianza kazi 1914.
6.PARAMOUNT (VIACOM)-ilianza kazi 1912.
7.LIONGATE (SUMMIT ENTERTAINMENT)-ilianzaishwa mwaka 1997.
8.THE WEINSTEIN COMPANY-ilianza mwaka 1979 ndani ya kampuni hii kuna kampuni ndogo kama (Dimension Films).
9.MGM (Metro Goldwyne Mayer)-ilianzishwa manamo mwaka 1924 pia ndani ya kampuni hii kuna kampuni nyingine inayofahamika kama (United Artist).
10.DREAM WORKS PICTURES-ilianzihswa mwaka 1994.
Hizo ndizo kamp[uni bora duniani kwa kurikodi filamu mbalimbali kimataifa ambazo nyingi zake zinatokea marekani hata hivyo zipo kmapuni nyingine kama...
COLUMBIA 1990,MIRAMAX 1979 na kufa 1993,TOUCHSTONE Februari 15 1984,TRISTAR,SCREEN GEMS pia ni miongoni mwa kampuni pia zinafanya vizuri ktk kuuandaa filamu ,nyingi ktk kampuni hizi ziko ktk kampuni kubwa tulizotaja hapo juu.
0 Comments "YAJUE MAKAMPUNI 10 TAJIRI,MAHIRI KTK KUREKODI NA KUANDAA FILAMU DUNIANI"