(DUEL) Ni miongoni kwa filamu za kimarekani za zamani iliyotoka Novemba 13 1971 ikiwa na miaka 46 sasa toka kutolewa rasmi.
Filamu hii iliyochukua siku 13 ktk kuandaa kwake ktk sehemu ya Jangwa ktk Jimbo la Nevada marekani,ilitumia Dola nusu milioni za USD.
Kisa kinachofurahisha zaidi ni pale bwana Dennis weaver alipokuwa safarini akitumia Gari ndogo aina ya Plymouth valiant delux nyekundu tolea la mwaka 1960 na njiani ikiwa safarini alikutana na roli la mafuta aina ya Peterbilt 281 ya mwaka 1955 likiwa na uelekeo sawa na yeye.
Filamu hii iliongozwa na Director Steven Spielberg ktk ubora wa hali ya juu na kuifanya filamu hii kuonekana bora wakati wote licha kuwa ina umri wa miaka 46 iliyopita toka kuzinduliwa kwake.
Kisa kizima cha filamu hii kipo njiani baada ya bwana Dennis weaver alipojaribu kulipita roli hilo kubwa
na Dennis weaver alipojaribu kulipita roli hilo kubwa.

0 Comments "TUJIKUMBUSHE ENZI HIZO ZA 1971 KTK FILAMU YA (DUEL) "