YANAJLI YAPI WAKATI NDEGE AU MELI INAOKUWA KTK HATARI YA KUANGUKA AU KUZAMA!

 "Kuendesha au kuongoza vyombo vya aina mbili yaani (Ndege na Meli) ni miongoni mwa kazi ngumu sana lakini pia ni vyombo vya gharama kubwa sana za mamilioni ya dola)"


Ni miongoni mwa vyombo vinavyotumia mda mrefu ktk kukiunda na hata ktk kusomea ili kuendesha na kutumia.

Pia ni miongoni mwa vyombo vya hatari kubwa ktk kupoteza Mali au watu waliomo ndani kwa asilimia kubwa endapo itatokea ajali (No chance of surviving).

Miongoni mwa sheria ngumu kwa madereva wa meli na ndege ni:-

1.Kuhakikisha kufanya kila juhudi ili kuokoa Mali,watu na chombo chenyewe hadi mwisho.

2.Kutowaambia abiria waliomo ndani chombo husika kuwa chombo hivyo kiko ktk hatari ya kuanguka au kuzama (ajali).

3.Dereva wa chombo anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kutoka au kujiokoa ktk chombo kabla ya kumshinda kabisa au ikiwezekana kufia ndani ya chombo.






Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "YANAJLI YAPI WAKATI NDEGE AU MELI INAOKUWA KTK HATARI YA KUANGUKA AU KUZAMA!"

Back To Top