"WAKATI MAMILIONI YA WATU WAKIHANGAIKA KUSAKA PESA YA TONGE LA UGALI,MABEPARI WANATUMIA MAMILIONI YA DOLA KUTENGENEZA,KUPENDEZESHA VYOO NA BAFU (MALIWATO) ZAO"

"Kuutumia ubepari kama njia ya maisha ktk jamii Fulani basi ina maana ya kukubaliana na yafuatayo.........
1.Kuona nyumba,viwanda,mashamba makubwa,vyombo vya usafiri,maduka mengi na vitu vyenginevyo kwa wingi lakini wamiliki wa mali hizo zote wanaweza wasifike hata watano nchi nzima.
2.Kukubali kuwa watu Wengi masikini mtakuwa vibaraka na wafanyakazi wa matajiri wachache hao ktk kuwachumia mali lukuki.

Choo hiki chenye rangi nyeupe kinachotumika na moja ya mabilionea wa huko ulaya kina thamani ya dola za kimarekani  milioni 3.7 USD,


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments ""WAKATI MAMILIONI YA WATU WAKIHANGAIKA KUSAKA PESA YA TONGE LA UGALI,MABEPARI WANATUMIA MAMILIONI YA DOLA KUTENGENEZA,KUPENDEZESHA VYOO NA BAFU (MALIWATO) ZAO""

Back To Top