AFRIKA KUSINI,MSUMBIJI,ZAMBIA ZAPIGA MARUFUKU UINGIZAJI WA KUKU KUTOKA ZIMBABWE

Kutokana na ofu ya ugonjwa mafua ya ndege unaoua ndege kwa kasi na hata kwa mwanadamu atakayetumia au kuwa jirani na mazingia ya ndege hao walioathirika anaweza kuathirika na hata kufa kutokana na vrusi hivyo vikali vya mafua ya ndege.

Zaidi ya kuku milioni 40 wanafungwa ndani ya zimbabzwe na kutegemea soko kubwa kama afrika kusini,msumbiji na zambia.

Hali hii itapelekea kampuni za ufugaji wa kuku kuathiriwa vibaya kiuchumi kwa kukosa soko la bidhaa zao hizo.

Zimababwe inategemea zaidi mazao ya kilimo kama tumbaku,uchimbaji wa madini ya shaba na ufugaji kuwa ndio kama uti wa mgongo wa uchumi wa taifa hilo ambalo kwa sasa liko ktk vikwazao vya kimataifa vya kiuchumi,kisiasa baada ya kuwafukuza waungu ktk mashamba makubwa miaka ya 2000 na kusababisha matatizo makubwa ktk uchumi kwa kushuka na kudorora kwa kiasi kikubwa.



Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "AFRIKA KUSINI,MSUMBIJI,ZAMBIA ZAPIGA MARUFUKU UINGIZAJI WA KUKU KUTOKA ZIMBABWE"

Back To Top