WAFUNGWA 930 WAVUNJA JELA NA KUTOROKA HUKO CONGO DRC

Zaidi ya wafungwa 930 wamevunja jela na kutorka kutoka gereza la Beni  na kukimbilia kusikojulikana,wafungwa hao ambao wanashikiliwa kwa makosa mbalimbali walianzaisha fujo ndani ya jela na kuua mabwana jela zaidi ya 8 na kuingia mitaani.

Hali ya hatari imetangazwa kwa mji wa Beni kutembea mwisho saa 12:00 jioni tu ili kutoa nafasi kwa mabwana jela kuingia mitaani na kuwakamata wafungwa hao ambapo hadi sasa wamefanikiwa kuwatia mbaroni wafungwa wapatao 20 tu.

Congo ni taifa lililo ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe hasa ktk mijimbo ya beni,kivu ya kaskazinina kusini kwa kuwepo na vikundi vingi vya waasi vilivyojificha msituni na kutekeleza mauaji na ubakaji kwa raia.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "WAFUNGWA 930 WAVUNJA JELA NA KUTOROKA HUKO CONGO DRC"

Back To Top