Habari za hivi punde ni kuwa zaidi ya tani elfu tatu (3000) za mchele usiofaa kwa matumizi ya binadamu zimekatwa na mamlaka ya chakula TFDA kushirikiana na vyombo vya usalama jijini Dar es salaam.
Mchele huu unaozaniwa umetoka nchini pakistani bado haijafahaika kwa kina umeingizwa vipi nchini bila kjulikana kama ulikuwa hauna viwango kwa ajili ya matumizi ya mwanadamu,mchele huo umekamatwa eneo baina ya ukongana gongolamboto jijini Dar es salaam.
Imekuwa kama tabia ya wafanya biashara wakubwa kuingiza bidhaa zisizo na viwango au zilizoisha mda wake wa matumizi kwa binadamu hasa nyakati hizi za upumgufu wa vyakula kama mchele,mahindi na maharagwe ambayo utumika kwa kiasi kikubwa zaidi nchini.

0 Comments "TANI 3000 ZA MCHELE USIOFAA KWA MATUMIZI ZAKAMATWA"