Kwa miaka zaidi ya 15 sasa mfululizo wako wanamuziki Wengi wa kimarekani wanaoibuka na kujulikana kwa nguvu kubwa lakini hupotea baadabya mda mfupi sana ktk fani hii ya mziki wa R&B.
Ila unapotaka kuzungumzia wanamuziki wa nyakati zote nchini marekani basi kamwe itakuwa ngumu sana kushindwa kutaja jina hili la Chris brown.
Christopher Maurice Brown ndio jina kamili,alizaliwa tarehe 5/51989 huko Tappahannock jimbo la Virginia nchini marekania(USA),kwasasa Chris brown ana umri wa miaka 27 na ana urefu wa futi 6.1.
Wazazi wa kijana huyu,mama ni Joyce hawaks na baba ni Clinton brown ambao wote wako hai mpaka sasa.
Chris brown alianza kazi ya kuimba akiwa na umri mdogo sana ktk kwaya za makanisa mbalimbali,kisha mwaka 2002 kuanza kuimba rasmi.
Kazi kubwa za huyu kijana ni muimbaji,muandishi na mchezaji mziki mzuri sana lakini pia ni muigizaji wa filamu,mpaka sasa ameshatoa album za mziki nane(8) ambazo ni Exclusive 2007,Graffiti 2009,Fame 2011,Fortune 2012,Before the party 2015 na Heart break on a full moon.
Ameshatoa nyimbo jumla 106 na albam mchanganyiko 8.
Kijana huyu machachari pia yuko ktk tasnia ya uigizaji filamu kama Battle of the year 2013,The dream team,Takers 2010,Think like a man 2012,Bloog rougues 2009,Into the woods 2008,This Christmas 2007, Stomp the yards 2007 na Royalty.
Chris brown ameshafanya kazi nyingi za nyimbo na kushirikiana na wanamuziki kama Nick minaj,DJ khaleed,Buster rhymes,lilwayne,Justine babier,Keri hilson,Jordin sparks,rahanna,snoop dogdog na wengine Wengi maarufu.
Kwa kila nyimbo ambayo inaonekana kushirikisha kijana huyu basi ufanya vizuri ktk chati mbalimbali za mziki duniani kwakuwa amejaliwa kuwa na sauti na mbinu nzuri za kuimba.
Baadhi ya nyimbo ambazo zimejulikana na kuwa chati za ju zaodi duniani kama Give me that,forever,year 3x,she anti you,wall to wall,with you,I can transform,look at me now,superhuman,run it,say good bye,poppin.
Chris brown alishakuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamziki Rihanna kwa mda mrefu lakini walikuja kuachana baadae baada ya kuwa wakipigana Mara kwa Mara na Wengi walihisi sababu ni rihanna kuwa na mahusiano ya karibu na drak,mahakama ilivunja penzi hilo na kutoa onyo wawe wanakaa umbali wa mita mia (100).
Hata hivyo baadae Chris brown alijikuta akianzisha mapenzi na mwanadada mwanamitindo mrembo Nia Guzman na kubahatika kuzaa nae Mtoto mmoja wa kike Ajulikanae kama Royalty brown aliezaliwa huko Texas 27/5/2014.
Chris brown ameshapokea tuzo nyingi ndani na nje ya marekani kama American music awards,MTV awards,BET awards,Grammy awards, na kushuka chati ya billboard nafasi za juu kwa mwaka 2004-2006.
Anamiliki utajiri wa dola milioni thelathini ($30) ktk benki pia majengo na nyumba ktk nchi ya marekani

0 Comments "NANI KAMA CHRIS BROWN KTK MZIKI WA R&B!"