
Toka kushikwa kwa jiji hilo kubwa na IS raia wamekuwa wakihangaika kwa kukimbia vita,njaa lakini kwa ukombozi huu mkubwa ulifanyika unaweza kuleta ahueni kwa wanachi wa maeneo haya kwa kurudi ktk dhughuli za kiuchumi na kutafuata mali kwa wingi kutokana na utulivu wa eneo hilo.
Ikumbukwe kuwa iraq ilipovamiwa na majeshi ya marekani na washirika wake wa NATO mnamo mwaka 20023 kwa kosa la Rais Saddam Hussein kuhisiwa anamiliki silaha za maangamizi ambazo ni hatari kwa usalama wa dunia.
Mji huu umekombolewa baada ya vita ya siku kadhaa na wanamgambo hao htari wa Is.
0 Comments "JIJI LA MOSUL MIKONONI MWA VIKOSI VYA SERIKALI"