Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu na utu ya Amnesty international na lile la human rights watch wameendelea kupia kelele juu ya sera na uongozi wa rais mpya wa marekani bwa, Dolnad Trump kwa kuwa na sera ngumu na za kibaguzi juu ya wageni.
Kiongozi huyu anaepata lawama kutoka pembe zote za dunia kwa kuweka sheria ya kutoruhusu mataifa saba kuingia ndani ya mareakni,kujenga ukuta mpakani mwa mexico,wamemlamu kwa kuonyesha mfanom mbaya kwa mataifa ya ya nchi zuinazoendelea na kuwapa nguvu kuiga na kushindwa kupata wa kuwakemea ikiwa taifa kubwa kla marekani litakuwa kinara wa kuvuinja haki za bainadamu.
Amnesty international wamesema kwa miak hii miwili viongozi wa mataifa kama wa ufilipino n na wa uturuki wameonekan wakitoa kauli nzito na kuvunja haki za kibindamu kwa watendaji wao kuonekana wakitimiza amri za wakubwa hao,mfano ufilipino ktk kupambana madawa ya kulevya.
0 Comments "TRUMP ALAUMIWA KWA KUPANDIKIZA MBEGU YA SUMU KWA VIONGOZI WA DUNIA"