Tokyo mji mkuu wa nchi ya Japan umetjwa kuwa ndio mji ulio na gharama za juu zaidi za maisha kuliko eneo lolote ulimwenguni.
Gharama hizi za maisha ya kila siku ktk vyakula,vinywaji,mavazi,kodi za makazi au nyumba,afya,huduma za elimu,usafiri hivyo kulazimu watu wengi kuukimbia mji huo na kwenda kuishi maeneo ya pembezoni mwa mji,miji mingine,mashambani au vijijini kwa kukimbia ugumu wa maisha.
Ndani ya Tokyo ukiwa mji uliojengeka vyema ktk mpanngilio wa miundombinu(barabara),majengo makubwa na marefu,hoteli za kafahari,viwanda vingi,maisha hayawezi kwenda bila kuwa na kazi maalum itakayokuingizia kapato
0 Comments "TOKYO NDIO MJI WENYE MAISHA YA GHARAMA YA JUU KULIKO SEHEMU YEYOTE DUNIANI"