
Korea kaskazni ikiongozwa na Kim Jong Un imekuwa ikitengeneza silaha za kinyuklia kila uchao kwa lengo la kujihami na wabaya wake marekani,Japan,Korea kusini zikiwemo na nchi za ulaya kupitia umoja wao wa NATO.
Kwasasa Korea kaskazini imegundua njia ya pekee inayoweza kuikoa nchi na utawala wake kutoangushwa na wababe hao wa dunia ni kutengeneza silaha nzito za kinyklia ambazo ndizom sialaha hatari na za kisasa ktk uwanja wa vita ktk karne hii ya 21.

Marekani na washirika wake wa NATO wameionya nchi hiyo kuwa kwasasa alipofikia wao wako tayari kwa vita juu yake,kauli hii ambayo imepokelewa tofauti na Uchina na Urusi na kuzionya nchi hizi kuwa maamuzi hayo ni ya hatari wa usalama wa sayari yetu hii kwakuwa utawala wa korea kaskazini umeshagundua njia pekee ya kujilinda na mambo yaliyowapa Saddam Hussein wa iraq,Muamar Ghadaf wa libya ni kutengeneza zaidi silaha za kinyuklia kwa wingi na kasi kubwa.

0 Comments "VITA YA TATU YA DUNIA YANUKIA (URUSI,CHINA ZAONYA)"