TRENI ZAGONGANA NA KUUA WATU 49 MISRI

Ajali ya kugongana kwa treni treni za abiria mbili ktk mji wa pwani wa Alexandria ambao ni miongoni mwa mji mkongwe ktk nchi hiyo,ajali


hiyo iliyasababisha vifo vy watu 49 imetokea leo mapema.

Treni hizo zilizokuwa ktk mwendo wa kawaida ziligongana baada ya kutokuwepo kwa mawasiliano mazuri kati ya kituo kimoja cha treni na kifuatacho.

Treni ni miongoni mwa usafiri unaotumika na watu wengi wa vipato vya kati kutokana na unafuu wake wa bei.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TRENI ZAGONGANA NA KUUA WATU 49 MISRI"

Back To Top