Zaidi ya watoto 30 wamefariki dunia ghafla wakiwa hospitali ktk wodi ya wagonjwa mahututi wanaohitaji mifumo maalum ya usaidizi ya upumaji.
Vifo hivyo vimetokea nchini india ktk jimbo la Gorakhpur ambapo wagonjwa hao wenye matatizo mbalimbali ya kiafya kuwekewa mifumo maalum ya upumuaji kisha kufeli taratibu bila ya wahudumu na madaktari wa hospitalini hapo kushindwa kugundua haraka.
Hospitali hiyo ya BRD imethibitisha kuwepo kwa vifo hivyo vya ghafla vilivyosababishwa na ukosefu wa hewa safi.
India nchi yenye idadi ya watu wengi duniani baada ya china iiwa na watu wapatao bilioni moja na milioni mia mbili (1.2 bilion) imekuwa ikikubwa na changamoto ya hudumu za kiafya kutokana na upungufu wa vitendea kazi,idadi ya mnadaktari na wahudumu wa sekta ya afya,madawa,umasikini uliokithiri kwa watu,magonjwa yatokanayo na uchafuzi wa mazingira,majengo licha india kuwa ndio nchi yenye kuwepo na idadi kubwa ya watu wanaosea fani za afya.

0 Comments "WATOTO 64 WAFARIKI HOSPITALINI INDIA BAADA YA MIFUMO YA HEWA SAFI KUSHINDWA KUFANYA KAZI"