
Mzee Yisrael Kristal amefariki jana 11/8/2017 kutokana na hali yake ya ukongwe,mzee huyu alioa mke wa kwanza mwaka 1928 na kufanikiwa kupata naye watoto wawili tu.
Mzee huyu alipata tuzo ya kuwa mtu aliyeishi zaidi duniani kwasasa na Guiness ambao wao utoa tuzo hizo kwa watu au mambo yalivunja rekodi au kuwa ya ajabu zaidi ulimwenguni.
0 Comments "MTU MKONGWE KABISA DUNIANI AFARIKI DUNIA POLAND"