
Maduro anayeshutumiwa na kusemwa na wanaharakati wengi duniani kuwa anakandamiza upinzani na kutumia zaidi vyombo vya usalama ktk kuumiza na kuua wananchi wake kwa kisa cha kudai na kupinga kwa mabadiliko ya katiba,kuanguka kwa uchumi na hali mbaya ya kimaisha kwa raia wengi wa nchi hiyo na kufikia hatua kwa watu kula vyakula vya majalalani.
Masoko,maduka mengi yamefungwa kutokana na kukosa bidhaa za msingi,kukosekana kwa nishati ya mafuta kwa vyomo vya moto licha ya nchi hiyo kuwa ni miongoni mwa nchi zinazochimba mafuta kwa wingi duniani.

Aidha Trump amemuonya Kiongozi wa korea kuaskazini Kim Jong Un awe makini na maamuzi yake ya kutaka kupiga mabomu kisiwa cha GUAM kwani naye hatosita kuishughulikia kijeshi endapo itajaribu kufanya hivyo.
China na urusi zimekuwa ktk mazungzo ya simu na rais Trump ili kupunguza hali hiyo ya uhasama baina yake na mreakani.
Marekani kambi kubwa ktk kisiwa cha guam na Japan zenye jumla ya wanajeshi 50,000.
0 Comments "TRUMP ATISHIA KUZIVAMIA KIJESHI VENEZUELA,KOREA KASKAZINI"