JAPANI YAKUMBUKA MIAKA 72 TOKA KUPIGWA KWA BOMU LA KIATOMIKI

Siku ya jumapili agosti 06 1945 majira ya saa mbili asubuhi mapema kabisa miji miwili ya Nagasaki,Hiroshima iliyopo nchini Japani ilipata pigo kubwa la mwishoni ktk vita ya pili ya dunia kwa kupigwa Mabomu ya aina mpya kabisa ya Kiatomiki.

Mabomu haya mawili makubwa yaliyobebwa na ndege maalum ya jeshi la marekani yaliosababisha vifo vya papo hapo kwa watu zaidi ya laki moja na arobaini elfu (140,000).

Japani ilikubali kuisha kwa vita baada ya siku sita tu toka kupigwa kwa mabomu hayo,Mabomu hayo yaliyoharibu mazingira na hali ya hewa ya nchi hiyo.

Aina hii ya mabomu yanakiwango kikubwa cha sumu kali sana zenye kuweza kukaa na kuleta madhara kwa miaka mingi zaidi mbele hata badsa ya kupigwa kwa mda mrefu.

Sasa zaidi ya miaka 72 toka kupigwa kwa mabomu hayo Japani imekuwa ikiweka utaratibu maalumu kwa siku hii kukaa na kukumbuka hali hii iliyojitokeza ktk nchi yao.

Waziri mkuu wa japani Shinzo Abe ameshiriki ktk kumbukumbu hiyo iliyofanyika ktk eneo la mnara maalum.

Japani inailamu sana Marekani na marafiki zake kwa kufanya maamuzi mabaya ya kutumia mabomu hayo licha ya kujua madhara yake makubwa yatakayojitokeza baada ya kutumiwa.




Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "JAPANI YAKUMBUKA MIAKA 72 TOKA KUPIGWA KWA BOMU LA KIATOMIKI "

Back To Top