Miongioni mwa kauli za Hotuba ya Rais wa Uganda mh.Yoweri Kaguta Musevenin akiwa mkoani Tanga ktk uzinduzi na uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta toka nchini Uganda ni ile ya kusema kuwa "Hatutaki kuona afrika mashariki bado mkulima masikini anaendelea kuzaa wakulima masikini zaidi bali kupata wakulima wakubwa na wenye tija zaidi"
Kauli nyingine ambayo iliwaacha hoi watu walikuwepo ktk hadhara hiyo ni ile ya kuwa Kabla kuwa rais wa uganda Yoweri Kaguta Museveni aliwahi kuingia kinyemela ndani ya mkoa wa Tanga akiwa ana bundiki 14 alizotoka nazo nchini uganda.
Wakti huo huo rais amagufuli aliingizia utani wa kuwa kama Museveni atarudia tena kitendo hiko kwa wakati huu basi atamtumbua hadharani.

0 Comments "YOWERI MUSEVENI:HATUTAKI MKULIMA MASIKINI KUZAA MKULIMA MASIKINI"