Kampuni mbili kubwa za ndege za Cathay yenye makao makuu Hong kong nchini china na ile ya Berlin airlines yenye makao makuu jijini Berlin ujerumani zinazofanya kazi zake ktk mataifa zaidi ya 180 duniani kote zimetangaza kufirisika baada ya mapato yake kushuka kwa kiasi kikubwa kwa hali inayoendelea ya kukosa abiria kwa kiasi kikubwa.
Hali hii inajitokeza kutokana na ushindani mkubwa kutoka ktk mashirika mengine mapya yanayokuja juu kila siku,wateja wengi wana tabia ya kuhama na kuchagua aina mpya ya shirika la ndege kwa kufuata huduma mpya.
Mtikisiko huu wa kiuchumi pindi unapoendelea kwa mda mrefu zaidi unaweza kusababisha kampuni kufa kabisa.

0 Comments "KAMPUNI ZA NDEGE ZA CATHAY PACIFIC NA AIR BERLIN ZATANGAZA KUFILISIKA"