Rais wa Iran Hassan Rouhan amelihutubia bunge la iran kuwa endapo serikali ya marekani na umoja wa ulaya wataiwekea vikwazo vipya vya kiuchumi na kisiasa kwa sasa basi wao watavunja makubaliano yote ya kuacha urutubishaji wa madini ya nyuklia kwa ajili ya uundaji wa silaha za kinyuklia ndani ya saa chache tu.
Maneno haya yametolewa na kiongozi huyo baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa marekani inakusudia kuweka vikwazo vipya kwa iran hasa za kiuchumi,iran imekuwa ikilaumiwa na jumuiya za kimataifa kwa kufanya mipango ya uundaji wa silaha za kinyuklia ambazo ni hatari kwasasa nchi hiyo kumiliki.
Pia iran inashutumiwa tena kwa kusaidia vikundi vya kigaidi kama vya al qaeda,taliban,hizbollah,Isis kwa kuwapa misaada ya silaha na fedha kwa kuendeleza shughuli za kigaidi ktk maeneo mbalimbali duniani.
Iran imekuwa hasimu mkubwa kwa marekani toka mapinduzi ya kiislam yaliyofanywa na wanaharakati mnamo mwaka 1979 na kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na taifa hilo hadi sasa.

0 Comments "IRAN KUENDELEZA UUNDAJI WA SILAHA ZA NYUKLIA NDANI YA SAA CHACHE"