JOTO KALI LASABABISHA WATU KUSHINDA KTK MAJI KWA MDA MREFU ULAYA

Joto kali lilianza toka katikati ya mwezi julai barani ulaya limefanya watu kuhaha huku na huko ktk kutafuta mahali pa kujipozea miili yao amabayo inapamba joto kali kwa siku nzima.

Nyakati hizi maeneo yenye maji kama ktk maziwa,bahari na mabwawa maalum ya kuogelea ndio kumekuwa makazi ya watu wa bara ulaya kwa kushinda humo kutwa nzima wakipoza miili yao kutokana na vuguvugu la joto kali ambalo limekumba bara ulaya.

Magonjwa mengi ya ngozi ujitokeza ktk nyakati hizi za majira yas joto kali,hivyokusababisha hata vifo kwa watu wenye aya za kulegalega au mgogoro hasa wazee au masikini wasiojiweza kujizuia na hali hiyo ngumu ambayo usababisha hata baadhi ya watu wenye uwezo kuzikimbia nchi zao na kwenda mataifa mengine mabko kuna hali ya hewa nzuri kwa mda huu.

Watu wengi uonekan nyakati za mchana wakiwa wako miili wazi na kujistiri kwa nguo za ndani tu kama chupi,bukta na nguo maalum za kuogelea


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "JOTO KALI LASABABISHA WATU KUSHINDA KTK MAJI KWA MDA MREFU ULAYA"

Back To Top